Real Madrid yaingia nusu fainali Ligi ya Washindi baada ya kuichabanga Juventus

Timu ya Real Madrid  yatinga nusu fainali baada ya kuilaza timu ya Juventus kwa mabao lililosawazishwa na Cristiano Ronaldo

Real Madrid yaingia nusu fainali Ligi ya Washindi baada ya kuichabanga Juventus

Timu ya Real Madrid  yatinga nusu fainali baada ya kuilaza timu ya Juventus kwa mabao lililosawazishwa na Cristiano Ronaldo.

Timu ya Real Madrid yaichapa timu ya Juventus  kutoka Italia katika uga wa Santiago Bernabeu katika mechi ilichezwa Jumatano kati ya mahasimu hao.
Real Madrid imechapa mabao matatu kwa nunge timu ya Juve na kuipa tikiti ya kuingia katika nusu fainali ya michuano ya Ligi ya Washindi ya Ulaya.

Goli la mkwaju wa panati lililosawazishwa na Cristiano Ronaldo katika dakika za mwisho limeiingiza timu ya Real Madrid katika nusu fainali ya michuano ya Ligi kuu ya washindi ya Ulaya.

Penati hiyo iliamliwa na muongoza mchezo baada y aya Medhi Benatia  kumdodosha Lukas Vazquez  katika eneo la hatari .Habari Zinazohusiana