Timu ya basketball ya Uturuki Darüşşafaka, mshindi wa kombe la Ulaya

Timu ya mpira wa kikapu ya Uturuki ya Darüşşafaka yashinda kombe la Ulaya kwa kuichapa timu ya Urusi ya Lokomotiv Kuban

Timu ya basketball ya Uturuki Darüşşafaka, mshindi wa  kombe la Ulaya

Timu ya mpira wa kikapu ya Uturuki ya Darüşşafaka yashinda kombe la Ulaya  kwa kuichapa timu ya Urusi ya Lokomotiv Kuban na kuingia katika historia ya basketball barani Ulaya.

Mechi  ya ushindi ilichezwa katika uwanja wa Volkswagen mjini Istanbul majira ya usiku.

Timu ya Darüşşafaka imepata ushindi kwa alama 67 kuhusu asimu wake akipata alama 59.

 

 Habari Zinazohusiana