Morocco yaondolewa na Ureno katika michuano ya kombe la dunia Urusi

Timu ya Morocco yaondolewa na Ureno baada ya kuzabwa  bao moja kwa sifuri 1-0 katika mechi ya mwisho iliochezwa Jumatano Urusi

Morocco yaondolewa na Ureno katika michuano ya kombe la dunia Urusi

Timu ya Morocco yaondolewa na Ureno baada ya kuzabwa  bao moja kwa sifuri 1-0 katika mechi ya mwisho iliochezwa Jumatano Urusi.

Timu ya Morocco yaondolewa na Ureno katika michuano ya kombe la dunia inayoendelea nchini Urusi.

 Morocco imefungwa bao moja na Ureno katika mechi iliochezwa Jumatano  ya kundi B.

Goli pekee la  ambalo limeisha ushindi timu ya Ureno limefungwa na Ronaldo katika mechi hiyo iliochezwa  katika uga wa  Luzhniki.

Goli hilo lilifungwa katika dakika ya 4 baada ya kipenga cha kwanza .

  

 

 Habari Zinazohusiana