Mwanamieleka  Kerem Kamal apewa pongezi na rais Erdoğan

Mwanamieleka wa Uturuki Kerem Kamal apewa pongezi   na rais Erdoğan

Mwanamieleka  Kerem Kamal apewa pongezi na rais Erdoğan

Mwanamieleka wa Uturuki Kerem Kamal ashinda medali ya dhahabu baada ya kumbwaga Vijay Vijay katika mashindano  ya mieleka ya vijana yalioandaliwa Slovakia.

Rais Erdoğan ametoa pongezi kwa mwanamieleka huyo kwa kujinyakulia medali ya dhahabu katika mashindano hayo ya vijana. 

Ushindi huo na katika kitengo cha uzani wa kilo 60.Habari Zinazohusiana