Chuo cha mafunzo ya kilimo cha bangi Kanada

Chuo cha mafunzo ya kilimo cha bangi Kanada |

Chuo cha mafunzo ya kilimo cha bangi Kanada

Wakati nchini Kanada wakijiaandaa kuruhusu matumizi ya bangi kama kiburudisho, baadhi ya wanafunzi katika chuo cha Niagara  wamekuwa wa kwanza kujifunza kilimo cha bangi katika makopo.


Tagi: Cannabis , Bangi , Kanada , Niagara