Mashindano ya kwanza ya ulimbwende kwa walemavu

Masindano ya kwanza ya ulimbende kwa walemavu wanaotumia beiskeli nchini Poland

Mashindano ya  kwanza ya  ulimbwende kwa walemavu

Masindano ya kwanza ya ulimbende kwa walemavu wanaotumia beiskeli nchini Poland

Masindano ya kwanza ya ulimbwende kwa wanawake walemavu wanaotumia beiskeli wafanyika kimataifa nchini Poland.

Katika mashindano hayo mwanafunzi katika kitengo cha  saikolojia kutoka Belarus kwa jina la Aleksandra Chichikova aibuka mshindi.

Walimbwende kutoka Angola, Beşarus,Brazil, Canada, Chile, Finland, Ufaransa, Guatemala, India, Italia, Mexico, Moldova, Uholanzi, Poland, Urusi, Afrika Kusini, Ukraina na Marekani walishiriki.

 Habari Zinazohusiana