Watalii milioni 8 Istanbul kwa muda  wa miezi 9

Jiji la Istanbuli lapokea watalii milioni 8 kwa muda wa miezi 9

Watalii milioni 8 Istanbul kwa muda  wa miezi 9

Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na  wizara ya utalii ya Uturuki ni kuwa  kiwango cha watali waliotemebelea mjini Istanbuli kwa muda wa miezi 9 pekee kimefikia asilimia 13.

Kiwango hicho kimeongezeka katika muda wa miezi 9 na kufikia watalii milioni 8 ikilinganishwa na kipindi kama hicho mwaka 2016.

Ripoti iliotolewa na wizara ya utalii inasema kuwa asilimia 30  ya watalii walitembelea  jiji la Istanbul.

Watalii kutoka Ujerumani wameshika nafasi ya kwanza, nafasi ya pili ikiwa Iran huku nafasi ya tatu ikichukuliwa na watalii kutoka SaudiArabia.Habari Zinazohusiana