Wanawake waruhusiwa kunywa pombe nchini Sri Lanka

Marufuku kwa wanawake kunywa pombe yaondolewa nchini Sri Lanka

Wanawake waruhusiwa kunywa pombe nchini Sri Lanka

 

Wanawake nchini Sri Lanka kwa kipindi cha zaidi ya miaka 50 walikwa hawan ruhusa kunywa pombe katika taifa hilo.

Seriakli ya Sri Lanka imeruhusu wanawake wenye umri kuanzia miaka 18 kutumia vinywaji ambavyo vina uwezo wa kulewesha.

Sheria hiyo iliwekwa nchini Sri Lanka tangu miaka zaidi ya 60 iliopita.

Baada ya kufahamisha kuwa serikali itajadili sheria hiyo ambayo imeonekana kuwa ilikuwa ikiwadhulumu wanawake tangu mwaka 1955, sheria hiyo itafanyiwa marekebesho.Habari Zinazohusiana