Watali kutoka Iran kuengezeka kwa kiasi kikubwa Uturuki

Idadi ya watalii kutoka Iran yatarajiwa kuongezeka katika kipndi cha likizo Uturuki

Watali kutoka Iran kuengezeka kwa kiasi kikubwa Uturuki

Watalii takriban 100 000 kutoka Iran wanakadiriwa kutembelea Uturuki katika msimu wa kianga  katika kipindi cha likizo ya mwaka.

Watalii kutoka Iran  huvutiwa mara kwa mara katika kipindi cha likizo na eneo la Van ambalo hutembelea kwa wingi Uturuki.

Kiwango cha oda iliokwishatolewa katika nyumba za kupokea wageni kimkefikia  asilimia 80.

Watalii kutoka Iran wanasubiriwa kwa hamu kubwa na wafanya biashara katika mkoa huo. 


Tagi: Iran , Uturuki , utalii

Habari Zinazohusiana