Mwanamke akamatwa kwa kumkumbatia mwanamuziki Saudi Arabia

Mwanamke mmoja nchini Saudi Arabia akamatwa kwa kosa la kumkumbatia mwanamuziki  Majid al-Mohandis

Mwanamke akamatwa kwa kumkumbatia mwanamuziki Saudi Arabia

Mwanamke mmoja nchini Saudi Arabia akamatwa kwa kosa la kumkumbatia mwanamuziki  Majid al-Mohandis  akiwa katika tamasha akitumbwiza.

Mwanamuziki huyo mwenye asili ya Irak alikuwa akitumbwiza Souq Okaz  mjini Taif, mji ambao unapatikana  Magharibi mwa Saudi Arabia.

Tukio hilo limetokea Ijumaa iliopita.

Wanawake nchini Saudi Arabia hawaruhusiwi kujichanganya na wanaume katika hadhari.Habari Zinazohusiana