Teksi za umeme zazinduliwa jijini Istanbul

Teksi zitakazotumia umeme zazinduliwa kwa mara ya kwanza jijini Istanbul

Teksi za umeme zazinduliwa jijini Istanbul

Teksi 3 za kwanza zinazotumia umeme zazinduliwa jijini Istanbul katika juhudi za kupambana na mabadiliko ya hali ya hewa na uchafuzi wa anga .

Teksi 3 za umeme zitaanza kutumika katika jiji la Istanbul wiki hii huku zingine kati ya 500-600 zikitarajiwa kuanza kutumika mwisho wa mwaka 2017 .

Meya wa manispaa ya Beyoğlu Ahmet Misbah Demircan alihudhuria hafla ya maonyesho na uzinduzi wa teksi hizo .

 


Tagi: Istanbul , Umeme , Teksi

Habari Zinazohusiana