Mtambo mkubwa wa kusambaza gesi

Wizara ya Nishati na mali ya asili ya Uturuk, inaandaa  mradi muhimu ili kuhakikisha usalama katika uzalishaji wa gesi asilia

Mtambo mkubwa wa kusambaza gesi

 

Wizara ya Nishati na mali ya asili ya Uturuk, inaandaa  mradi muhimu ili kuhakikisha usalama katika uzalishaji wa gesi asilia.

Kutokana na mazungumzo na kampuni ya Japani MOL (Mitsui-OSK Lines), BOTAŞ ilisaini mkataba wa kukodi mtambo wa kusambaza gesi.

Waziri wa Nishati na rasilimali  wa Uturuki Berat Albayrak, alifahamisha kuwa Uturuki itapokea mtambo  wa kusambaza gesi kutoka kampuni ya Japan mwishoni mwa mwaka 2017.  Habari Zinazohusiana