Uzalishaji kwenye nyanja ya viwanda umeongezeka kwa asilimia 5.2 nchini Uturuki

Kwa mujibu wa TUIK, uzalishaji wa viwanda ulikua na kuongezeka kwa 5.2% mwezi Agosti ikilinganishwa na mwezi huo huo wa mwaka uliopita.

Uzalishaji kwenye nyanja ya viwanda umeongezeka kwa asilimia 5.2 nchini  Uturuki

Uzalishaji kwenye sekta ya viwanda nchini Uturuki uliongezeka kwa asilimia 5.2 mwezi Agosti, ikilinganishwa na kipindi hicho cha mwaka 2016.

Taasisi ya Takwimu ya Uturuki (TUIK) ilitowa taarifa jumatatu kuhusu takwimu za uzalishaji wa viwanda nchini Uturuki wa mwezi Agosti 2017.

Kwa mujibu wa TUIK, uzalishaji wa viwanda ulikua na kuongezeka kwa 5.2% mwezi Agosti ikilinganishwa na mwezi huo huo wa mwaka uliopita.

Aidha, takwimu zinaonesha kuwa ukuaji  ulipungua kwa asilimia 0.1 ikilinganishwa na mwezi Julai mwaka huu wa 2017.Habari Zinazohusiana