Wasafiri zaidi ya milioni 6 wametumia shirika la ndege la Turkish Airlines

Zaidi ya wasafiri milioni 6 wametumia shirika la ndege la kimataifa la Turkish Airlines Septemba

Wasafiri zaidi ya milioni 6 wametumia shirika la ndege la Turkish Airlines

Zaidi ya wasafiri milioni 6 wametumia shirika la ndege la kimataifa la Turkish Airlines Septemba

Zaidi ya wasafiri  milioni 6 wametumia shirika la ndege la kimataifa la THY Turkish Airlines katika kipindi cha miezi tisa ya mwanzo ya mwaka 2017.

Kiwango hicho cha wasafiri mwaka  2017 kimeongezeka kwa asilimia 13 wakati ambapo mwaka 2016 ilikuwa asilimia 6,9.

Tangazo lilitolewa na uongozi wa shirika hilo la THY limefahamisha  kuwa Septemba mwaka 2017 kiwango cha abiria waliotumia shirika la ndege la Turkish Airlines imefikia watu  milioni 6,7 ikiwa ni asilimia 13. Septemba mwaka 2016 ilikuwa asilimia 13, wakati kama huo mwaka 2015 ilikuwa asilimia 17.

Kiwango cha wasafiri wa ndani wakitumia ndege z a shirika la Turkish Januari na Septemba kimekuwa na pointi 4,3 na asilimia 79.

 Habari Zinazohusiana