Mauzo ya nje wa Uturuki yaongezeka kwa asilimia 14,8 Februari mwaka  2018

Kiwango cha mauzo ya nje ya Uturuki chaongezeka kwa asilimia 14 Februari mwaka 2018

Mauzo ya nje wa Uturuki yaongezeka kwa asilimia 14,8 Februari mwaka  2018

Kiwango cha mauzo  ya nje  chenye thamani ya dola bilioni 12,889 kimefikiwa Jamnuari  mwaka 2018 kama ilivyofahamishwa na baraza la wafanya biashara wa Uturuki .

Baraza hilo la wafanya biashara  wa Uturuki TIM limefahamisha kuwa kiwango hicho kimeongezeka kwa asilimia 14 Februari mwaka 2018 ikilinganishwa na kipindi hicho mwaka 2017.

Mauzo ya nje kwa kaisi kikubwa yamefanyika nchini Ujerumani, Italia, Uingereza, Marekani na Ufaransa.

Asilimia 16 ya mauzo ya  nje ya Uturuki kuelekea  katika mataifa ya bara la Afrika huku ulaya ikiwa ni asilimia 53.Habari Zinazohusiana