Wawekezaji wa wakigeni waendelea kuvutiwa Uturuki

Waziri mkuu wa Uturuki Binali Yıldırım asema kuwa  wawekezaji  wa kigeni wazidi kuvutiwa  Uturuki

Wawekezaji wa wakigeni waendelea kuvutiwa Uturuki

Wawekezaji wa wakigeni waendelea kuvutiwa Uturuki

Waziri mkuu wa Uturuki Binali Yıldırım asema kuwa  wawekezaji  wa kigeni wazidi kuvutiwa  Uturuki

Waziri mkuu wa Uturuki Binali Yıldırım asema kuwa wawekezaji wa kşgeni wazidi kuvutiwa kuwekeza nchini Uturuki.  Uturuki inataraji  kutoa kiwango cha dola bilioni 33 kwa ajili ya miradi na ufadhili wa kimkakati. Kulingana na data zilzitolewa na waziri mkuu wa Uturuki kuhusu mabadiliko makubwa katika sekta ya uchumi na uwekezaji Uturuki, katika kipindi cha miaka 15 iliopita ya uongozi wa chama cha AK kiwango cha uwekezaji kimefikia dola biloni 191.

Hayo waziri mkuu wa Uturuki aliyazungumza Jumatano katika mkutano ulionadaliwa kwa lengo la kufanya mabadiliko katika uwekezajiç Mkutano huo ulifanyika mjini Ankara.

Kwa mujibu wa waziri mkuu, hali hiyo ya kuvutiwa kwa wawekezaji wa kigeni ni kutokana na hali ya uturulivu inayoshuhudiwa nchini Uturuki katika skta ya uchumi.

 Habari Zinazohusiana