Uchumi wa Uturuki waongezeka kwa asilimi 9 Februari 2018

Uchumi wa Uturuki waongezeka kwa asilimia 9 katika kipindi cha miezi miwili ya mwanzo ya mwaka 2018

Uchumi wa Uturuki waongezeka kwa asilimi 9 Februari 2018

Mauzo ya nje kutoka Uturuki Februai  mwaka 2018 yameongezeka kwa asilimia 19,7 ikilinganishwa na kipindi kama hicho mwaka uliopita 2017.

Mauzo ya nje  kutoka Uturuki katika kipindi cha miezi miwili ya mwanzo ya mwaka 2018.

Kitengo cha takwimu cha Uturuki cha TUIK na wizara ya  forodha na biashara  kimetoa taarifa ya muda  kuhusu biashara na mauzi kutoka Uturuki. Taarifa hizo za takwimu zimeonesha kuwa mauzo ya nje ya Uturuki katika kipinid cha kwanza cha miezi miwili Uturuki kimeongezeka kwa asikimia 9.

 


Tagi: Uturuki , uchumi

Habari Zinazohusiana