Uchumi waendelea kuimarika Uturuki

Mwaka 2017  uchumi nchini Uturuki  umeshuhudiwa kuimarika kwa kuonesha mabadiliko

Uchumi waendelea kuimarika Uturuki

 

Mwaka 2017  uchumi nchini Uturuki  umeshuhudiwa kuimarika kwa kuonesha mabadiliko  ambayo yameonesha kuwa  katik akipindi cha miaka miwili. Katika kipindi hicho cha muda wa miaka miwili Uturuki imefaulu kuzidi kuimarisha uchumi wake na  kuingia katika  mashindano  katika mataifa yalioendelea ulimwenguni.  Uchumi wa Uturuki  umeonesha utaofauti  ulmwenguni kwa kuimarika kwake kwa muda mchache. Kwa sasa macho yameelekezwa  katika data  za awamu ya nne   amkbazo zimetolewa  huku data nyingine zinatarajiwa kutolewa mwishoni mwa wiki.  Katika  kipindi chetu tutazame  mafaanikio  ya Uturuki katika sekta yake ya uchumi  katika kipindi cha miaka kadhaa ya nyuma na kipi ambacho kwa sasa kiwango cha ukuwaji wa uchumi  kinatarajiwa kuzidi kuimarika.

Kutoka katika chuo kikuu cha  Yıldırım Beyazid Ankara kitengo cha sayansa za siasa na uchumi, Daktari  Erdal Tanas KARAGÖL.

Uchumi wa Uturuki wazidi kuimarika

Katika  taifa ukuwaji wa uchumi hutafsiriwa kwa ongezeko uwezo wa uzalishaji katika sekta tofauti . na ukuwaji wa uchumi unatakiwa kuwa katika maendeleo chanya katika kipindi ambacho mabadiliko yanatarajiwa na kuwa na manufaa pia katika jamii nzima.  Kwa kutazama kipato cha kila raia kwa mwaka tnaweza kufahamu ni kiasi gani uchumi  katika taifa husika umekuwa na kuwa imara zaidi.

Kiwango cha dola 1,005  huwa kikizingatiwa  katika orodha ya  ambayo hutolewa ili kueşlewa kiwango cha kipata kwa raia katika taifa. Kiwango hicho hutolewa  katika makundi 6 yenye  kipato cha chini.    


Tagi: Uturuki , uchumi

Habari Zinazohusiana