Ushirikiano wa kimkakati kuimarika kwa uwekezaji

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan amefanya mazungumzo na  wawakilishi wa mashirika tofauti ya Marekani Uturuki

Ushirikiano wa kimkakati kuimarika kwa uwekezaji

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan amefanya mazungumzo na  wawakilishi wa mashirika tofauti ya Marekani Uturuki ikulu.

Rais Erdoğan amesema kuwa  hatofanya makubaliano  ya namna yeyote ile  kuhusu  soko huria.

Ushirikiano uliopo baina yetu  utaimarika kimkakati kwa kuimarisha uwekezaji katika biashara amesema rais Erdoğan.

Rais wa Uturuki amesema kuwa  matatizo ya kisiasa  yasiambatanishwa na masula muhimu katika uchumi na biashara, tutafanya  kila linaloitajika  kwa moyo mmoja kutatua  mzozo  uliopo  kwa njia ya kidiplomasia.Habari Zinazohusiana