Wahamiaji haramu 128 wakamatwa Mashariki mwa Uturuki

Wahamiaji  haramu 128 wakamatwa Mashariki mwa Uturuki wakijiandaa safari kuingia barani Ulaya

Wahamiaji haramu 128 wakamatwa Mashariki mwa Uturuki

Wahamiaji  haramu 128 wakamatwa Mashariki mwa Uturuki wakijiandaa safari kuingia barani Ulaya

Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na Polisi ni kwamba  kila muhamiaji alitotwa kiwango cha pesa Euro 400 ili kufaanikisha safari yao.

Wahamiaji hao haramu walikamatwa baada ya raia kutoa taarifa kwa Polisi kuwa wameona kundi la wageni na kushikwa na hofu.

Wahamiaji hao walionekana katika kituo cha mabasi mjini Elaziğ Mashariki mwa Uturuki.

Wahamiaji hao ni kutoka Afghanistan, Pakistan na Birmania.

Taarifa nyingine anaarifu kuwa wahamiaji hao walisafrishwa na watu ambao waliwataka kulipa kiwango cha pesa Euro 400 kutoka Van hadi Elazığ na Istanbul.Habari Zinazohusiana