Uhusiano kati ya Ghana na Uturuki waimarika

Uhusiano kati ya Uturuki na Ghana unakua kwa kasi.

Uhusiano kati ya Ghana na Uturuki waimarika

Uhusiano kati ya Uturuki na Ghana unakua kwa kasi.

Kwa mujibu wa habari,Ghana ni nchi yenye uhusiano mkubwa wa kibiashara ukilinganishana nchi nyingine za Afrika magharibi.

Balozi wa Uturuki nchini Ghana amesema kuwa hali nzuri ya kisiasa nch,ni humo ni kati ya vitu vinavyowavutia wawekezaji.

Balozi huyo amesema kuwa Ghana inapata wawekezaji kwa kasi.

Ripoti zinaonyesha kuwa biashara kati ya nchi hizo mbili imefikia  $480 millioni mwaka 2016.Uturuki inataka kiasi hicho kiongezeke mpaka $bilioni 1 ifikapo 2020.

 


Tagi: Uturuki , Ghana

Habari Zinazohusiana