"Hakuna bidhaa kutoka nje zitakuwa zikinunuliwa Uturuki"

Rais Erdoğan asema kuwa akuna bidhaa kutoka nje ambazo Uturuki ina uwezo wa kuzalisha zitakuwa zikinunuliwa Uturuki

"Hakuna bidhaa kutoka nje zitakuwa zikinunuliwa Uturuki"

 

Rais wa Uturuki Recep  Tayyıp Erdoğan asema kuwa hakuna bidhaa kutoka nje zitakuwa zikinunuliwa Uturuki kama bidhaa hizo zinazalishwa nchini Uturuki.

Hayo yalifahamishwa na rais Erdoğan katika hotuba yake aliotoa katika mkutano wa chama tawala.

Hakuna bishaa yeyote ikiwa ta teknolojia itanunuliwa kutoka nje kama Uturuki inao uwezo wa kuzalisha bidhaa hiyo. Bidhaa kutoka nje zitakazonunuliwa kuingia nchini Uturuki ni bidhaa muhimu katika wakati wa dharura pekee.

Rais Erdoğan aliendelea kusema kuwa  muda na pesa licha ya gharama Uturuki itaongeza jitihada zake katika uzalishaji wa bidhaa zake pekee.

Rais wa Uturuki alizungumzia pia kuhusu miradi 55 katika idara ya ulinizi ambayo imekadiriwa kutumia gharama ya zaidi ya dola bilioni 9,4.Habari Zinazohusiana