Rais wa Gambia kufanya ziara nchini Uturuki

Rais wa Gambia  Adama Barrow  kufanya ziara rasmi  nchini Uturuki

Rais wa Gambia kufanya ziara nchini Uturuki

Adama Barrow , rais wa Gambia anatarajiwa kufanya ziara rasmi nchini  Uturuki ifikapo Februari  14.

Rais wa Gambia atafanya ziara nchini Uturuki baada ya kualikwa na rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan.

Kitango kinachohusika na  upashaji habari  ikulu Ankara kimefahamisha kuwa viongozi hao wanatakutana na  kuzungumza kuhusu ushirikiano bain aya Gambia na Uturuki.Habari Zinazohusiana