Rais wa Gambia afanya zaira rasmi nchini Uturuki

Adama Barrow, rais wa Gambia afanya ziara rasmi nchini Uturuki

Rais wa Gambia afanya zaira rasmi nchini Uturuki

 

Msemaji wa bunge la Uturuki İsmail Kahraman amempokea rais wa Gambia Adama Barow katika ziara yake mjini Ankara.

Rais wa Gambia Adama Barow amepokelewa katika bunge la tume iliokuwa ikimshindikiza katikka ziara yake hiyo.

Baraza la bunge la Uturuki limetoa kauli ya pomoja kuwa Gambie  ni taifa mshirika wa Uturuki.

Rais wa Gambia pia kwa upande wake amesema kuwa  amefurahishwa na zaira yake ya kwanza nchini Uturuki.

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan alimualika rais wa Gambia kwa lengo la mazungumzo.

Mawaziri kadhaa  akiwemo waziri wa afya Ahmet Demircan,  Reşit Polat,  Mehmet Ali Kumbuzoğlu walishiriki.

 

 Habari Zinazohusiana