Rais Erdoğan asema kuwa kutumia silaha yeyote ila na kusababisha maafa ni ukatili

Rais Erdoğan asema kuwa kutumia silaha yeyote ile na kusababisha maafa ni ukatili na ukiukwaji wa haki za binadamu

Rais Erdoğan asema kuwa kutumia silaha yeyote ila na kusababisha maafa ni ukatili

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan katika mkutano uliandaliwa mjini Istanbul kwa ajili ya  jamii za kiislamu zilizochache  amesema kuwa  kutumia silaha  ya aina yeyote ile na kusababisha maafa ni  utatili na ukiukwaji wa haki za binadamu.
Hayo rais Erdoğan amezungumza akiashiria hali ya Syria.

Rais Erdoğan amesikitishwa na mizozo inayotokea na kusema kuwa mizozo inayotokea katika mataifa ya kiislamu , waislamu wenye "tunashindwa kuitatua". Kuhusu hali ya Syria rais Erdoğan amesema kuwa kuna wakati kunatumiwa mabomu  ya mapipa, mabomu na silaha za kemikali mara sialaha za kawaida.

Akizungumza kuhusu silaha za kemikali Guta na Duma nchini Syria rais Erdoğan amesema kuwa  makaubaliano  kuhusu silaha hizo  ilikuwa yatiwe saini. Rais Erdoğna amesema raia wasikuwa na atia  wanauawa na silaha za kawaida na wengine pia wanauawa na silaha za kemikali.

Watu wengi nchini Syria wameuawa na silaha ambazo zinaruhusiwa na makubaliano ya kimataifa.
Rais Erdoğan amezungumzia pia kuhusu mashambulizi  dhidi ya waislamu nchini Ujerumani, Uholanzi, Ubelgiji na Ufaransa. na kusikitishwa kuona kuwa wanawake hunyanyaswa nchini Ufaransa kwa kuvaa hijab.
 Habari Zinazohusiana