Alparslan Türkeş na siasa za nje za Uturuki

Uchambuzi kutoka kwa Daktari Cemil Doğaç Ipek, mtafiti katika kitengo cha ushirikiano wa kimataifa katika chuo kikuu cha Atatürk

Alparslan Türkeş na siasa za nje za Uturuki

Alparslan Türkeş ni moja ya watu muhimu katika  ulimwengu wa kisiasa nchini Utuıruki, mwanasiasa huyo amedhimishwa katika hafla maalumu ilioandaliwa kwa  kwa niaba yake ambapo pia rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan ameshiriki.

Leo tutazungumzia kuhusu Alparslan na mitazamo yake katika  matukio ya  wakati tulionao.

Ilı kuelewa vema siasa za nje za Uturuki  ambazo zinaendesha kwa sasa , kuna umuhimu mkubwa  kutazama na kufuata kila ambacho kilijiri hapo awali. Ili kkelewa zaidi kuna umhuimu pia  kuangalia mitazama ya Alparslan Türkeş ambae pia aliacha athari  katika siasa za nje za Uturuki. Alparslan  aliwajibika katika siasa za nje  na kuongoza kwa kipindi  kadhaa siasa za ndani na nje Uturuki.  Kuna umuhimu mkubwa kutazama alichokifanya. Umuhimu wake  unapatikana katika katika eneo la kijeografia Ulaya.

Alparslan Türkeş alizaliwa mwaka 1917 Lefkosa nchini Cyprus. Alihamia Uturuki akiwa na familia yake mwaka 1933.  Katika midahalo katika kipindi cha mabadiliko kutoka katika Utawala wa Dola na kuwa Jamhuri, katika taifa na kuanza kwa vuguvugu la kizalendo. Katika kipindi hicho mitazamo na fikra ambazo zilizonekana kuwa kama kiini cha kuunda Jamhuri ya Uturuki,  Mustafa Kemal Atatürk na muanzilishi wa chama cha kizalendo  Alparslan Türkeş.

Hotuba ya Alparslan Türkeş katika maazimisho ya  miaka  ya kifo cha Zşya okalp( alietambulika kama muanzilisha wa baba wa taifa , muanizlishi wa Jamhuri ya Uturuki) hotuba yake ilikuwa na umuhimu mkubwa : « Muelekeo wetu ni muelekeo wa wenye nguvu na muelekeo wa Ziya Gokalp .  Ndio, wakati  tulipokuwa tukiishi tulikuwa  tukitoa mchango. Mabadiliko yatafanyika kulingana na uhalisia  na mahataji. Lakini msimamo na mtazamo wetu wa msingi  haviwezi kubadilishwa. Harakati za kutaifisha, Uturuki, uislamu na maendeleo ya kisasa bado hadi leo vina linda  thamani yake.

Turkeş anafafanua siasa za nje kama  ushirikiano wa taifa  husika na mataifa mengine   huku maslahi ya yakipewa nafasi ya kwanza kwa manufaa ta umma.

 Alparslan Türkeş  katika eneo lai kimkakati  alikuwa na ndoto ambazo zilikuwa na umuhimu katika  kuhahakisha kuwa siasa za nje  zinapewa kipaumbele.

Ushirikiano na mataifa  yaliopo katika ukanda  kupewa kipaumbele.

Kulingana na mtazamo wa Alparslan Türkeş , malengo ya kştaifa  ni moja ya mambo  muhimu ambayo ni kama ut iwa mgongo wa siasa za nje.  Katika mstari wa kwanza , uhuru na kujitegemea.

Katika kipindi chote cha historia, mataifa yameweza kupambana na kwa muda mrefu ili kuhakikisha kuwa  yanakuwa ni mataifa yenye nguvu, mataifa yaenye jesh lenye nguvu na kuwa na matumaini.  Lengo la pili la siasa za nje  ni kufikia katika malengo yake.

Siasa za nje na siasa za ndani zote mbiili zinategemea na kushawishiana. Kwa mujibu wa Turkeş iwapo kutakuwa hakuna umoja katika taifa ,  hakuna ushirikiano na mshikamano taifa hilo litakuwa taifa ambalo halina nguvu na dhaifu lisilokuwa na mfano.  Vivo hivyo hali ya utulivu  na yenye nguvu itakapo ripotiwa katika taifa husika kuwa na nguvu vivo hivyo siasa ya nje itakuwa na ushawishi.

Kwa mujibu wa Turkeş Umoja wa Mataifa ulikuwa na umuhimu katika juhudi za kukomboa mataifa yaliokuwa  yakinyanyashwa na kukandamizwa, matumaini ya watu waliokuwa  wakiishi katika tabu na matatizo ya kşuchumi na kuhakikisha  amani kote ulimwenguni.

Turkeş  amesema kuwa Umoja wa Mataifa  umeshindwa kutimiza wajibu wake  kutokana na  upendeleo ambao unashuhudiwa na baadhi ya mataifa Umoja wa Mataifa.  Tunashuhudia kuwa Alparslan Turkeş na rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan  wamekuwa na mtazamo  mmoja na kukemea mfumo wa baraza la usalama la Umoja wa Mataifa.  Rais Erdoğan alizungumza jambo hilo kimataifa  kwa kusema kuwa  « Dunia ni kubwa kuliko mataifa matano »

Mwaka 1993, Mustafa Kemal Atatürk na mwaka 1944 Alparslan Turkeş walitabiri kuwa Umoja wa kisovieti utasamabaratikana  utabiri huo ulioshuhudiwa mwaka 1991.  Muda na wakati umethibitisha  utabiri wa viongozi hao wa kihistoria.  Turkeş alisema ni vipi ushirikiano bain aya Uturuki na mataifa ya kşturuki yaliopata uhuru baada ya umoja wa kisovieti kusambaratika : « Ushirikiano  na mshikamao  bain aya mataifa hayo kamwe  hayatoathiri mataifa mengine  na wala hakutoka na  lengo la kushambuliana .   Ushirikiano na mshikamano  malengo yake itakuwa ni kuhakikisha amani, mataumaini ulimwenguni.  

Popote pale watakapokuwa wakiishi waturuki, kila wakati  wanakuwa na matıumaini  katika ushirikiano , kudumisha amani na mapenzi baina yao, ushirikiano na amani na majirani zao na jamii nyingine ambazo zinashikiana katika jamii"

Kwa sasa siasa ya nje  ni  moja na vyombo muhimu ambavyo vinaimarisha ushirikiano na mataifa mengine.

Taifa linajenga ushirikiano na mataifa ambayo yanapatikana katika eneo moja la kijeografia  na mataifa mabayo kunapatika utamaduni mmoja kutokana na ukaribu uliopo.  Iwapo tub-tamzungumzia  Alparslan Turkeş  na mtazamo wake kuhusu siasa za nje  ni kwamba hakuna haja kuathiri  uhuru kujitegemea. 

Hadi wakati wa kifo chake Alparsşlan Turkeş aliendelea  kuhudumia taifa lake  na mataifa ya kituruki.

Mapambano ya Turkeş ni mfano  kamili wa mtu alijitolea kwa ajili ya taifa lake.

 Habari Zinazohusiana