Bidhaa kutoka Marekani kuwekewa kodi ya ziada na Uturuki

Uturuki kuwekea kodi ya ziada bidhaa tofuati ambazo zinatoka nchini Marekani

Bidhaa kutoka Marekani kuwekewa kodi ya ziada  na Uturuki

 

Uturuki yafahamisha kuwa kuwekea vikwazo vya kodi ya ziada bidhaa tofauti kutoka nchini Marekani.

 

Uamuzi wa rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan  kuhusu mabadiliko ya sheria za forodha  na mauzo ya ndani na bidhaa kutoka nje  umefahamshwa katika jarida la  serikali.

Bidhaa kutoka nchini  Marekani  zitawekewa kodi ya zida .

Kulingana  na taarifa zilizotolewa kuhusu  uamuzi wa rais wa Uturuki kuhusu bidhaa tofauti kutoka Marekani kani  vinywaji, tumbaku, magari na  vipodozi  vitawekewa kodi  ya ziada kuingia nchini Uturuki. Uamuzi huo unalenga pia bidhaa zote abazo hutengenezwa nchini Marekani.

Makamu wa rais wa Uturui Fuat Oktay  amefahamisha kuwa uamuzi huo  umechukuliwa kama ilivyofanya Marekani dhidi ya Uturuki .

 Habari Zinazohusiana