Rais Erdoğan atahadharisha operesheni yeyote Idlib nchini Syria

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan atahadharisha  madhara yatakayofuatia iwapo kutaanzishwa operesheni Idlib nchini Syria

Rais Erdoğan atahadharisha operesheni yeyote Idlib nchini Syria

 

Rais wa Uturuki ametahadhari  operesheni yeyote  ambayo ataanzishwa Idlib nchini Syria na madhara yake.

Akirejea kutoka nchini Azerbaijani ambapo alikuwa katika ziara rasmi, rais wa Uturuki amewaambia waandishi wa habari kuwa madhara ni makubwa iwapo kutaanzishwa operesheni Idlib nchini Syria.

Rais Erdoğan anajielekea mjini Sochi nchini Urusi ambapo atakutana na rais wa Urusi Vladimri Putin ambapo pia watazunguza kuhusu hali inayoendelea Idlib nchini Syria.

Kutakoana na pendekezo la rais wa Uturuki , hali ilikuwa shwari Idlib katika kipindi cha siku  mbili zilizopita.

Ufahamike kuwa Uturuki imetoa mchango mkubwa kwa wakimbizi kutoka Syria.

Zaidi ya wakimbizi milioni  3,5 wamepewa hifadhi nchini Uturuki.

Uturuki na washirika wake inatakiwa  kuwajibika katika juhudi za kutafuta suluhu kunako mzozo wa Syria ambao umedumu kwa zaidi ya miaka 6.

Akizungumzia kuhusu mapambano dhidi ya ugaidi Syria, rais Erdoğan amezungumzia kuhusu jeshi la ushiriki Syria na mapamabno dhidi ya ugaidi ambayo hayana athari kwa usalama wa Syria na kusema kuwa raia nchini humo wanahitaji   kulindiwa usalama.

Kwa kualizia rais wa Uturuki amesema kuwa ushirikiano dhidi ya makundi ya kigaidi unaitajika.Habari Zinazohusiana